Audio
FEDHA ZA BIASHARA
FEDHA ZA BIASHARA
KES 100
Description
Kipindi hiki kinakupa mwanga juu ya vyanzo vya mtaji, mbinu za usimamizi wa fedha, na namna ya kuongeza faida kwa ufanisi. Sikiliza ujifunze jinsi ya kuendesha biashara ya ICS kwa kifedha imara na endelevu.