Audio
ELEWA BIASHARA YA ICS
ELEWA BIASHARA YA ICS
KES 100
Description
Je, ungependa kuelewa fursa na faida zilizopo katika biashara ya Improved Cook Stoves (ICS)? Kipindi hiki cha Elewa Biashara ya ICS kinaangazia jinsi biashara ya majiko banifu inavyofanya kazi, kuanzia uzalishaji na usambazaji, hadi masoko, bei, na faida. Sikiliza ujifunze namna ya kuanzisha, kusimamia, na kukuza biashara ya ICS kwa njia endelevu na yenye tija.